Programu ya Nishani za Mazoea Bora ya OpenSSF

Pata Nishani Yako Sasa!

Linux Foundation (LF) Open Source Security Foundation (OpenSSF) Nishani ya Mazoea Bora ni njia kwa minajili miradi ya Programu Huru na Zana Huria (FLOSS) kuonyesha kuwa zinafuata mazoea bora. Miradi yaweza kujihakikisha kwa hiari yao binafsi, bila malipo, kwa kutumia hii tovuti kueleza vile wanafuata kila moja ya mazoea bora. Nishani za Mazoea Bora ya OpenSSF imevuviwa na nishani mingi zinazopatikana kwenye miradi ya GitHub. Watumizi wa hiyo nishani wanaweza kwa haraka kadiri ni miradi ipi ya FLOSS inayofuata mazoea bora na matokeo sanasana inaweza kutoa programu za kompyuta zilizo na usalamu wa hali ya juu.

Unaweza ona kwa urahisi vigezo vya nishani iliyohitimu. Taarifa zaidi kuhusu programu ya nishani ya Mazoea Bora ya OpenSSF inapatikana katika GitHub. Takwimu ya mradi na takwimu ya vigezo yapatikana. Kurasa ya miradi inaonyesha miradi inayoshiriki na uwezekano wa kufanya miulizo (k.m., unaweza kuona miradi iliyo na nishani ya kuhitimu). Pia unaweza kuona kama mfano (mahali tunapojaribu kupata nishani yetu wenyewe).

Faragha na masuala ya kisheria: Tafadhali angalia sera ya faragha, about cookies, na masharti ya utumiaji. Misimbo ya kuweka nishani kwenye programu yenyewe imetolewa kupitia leseni ya MIT (miradi zinayofuatia nishani zinapatikana kupitia leseni zao husika). Yote inayopatikana-hadharani na siyo mambo ya msimbo inayosimamiwa na programu ya kuwekeza nishani imetolewa kupitia angalau Creative Commons Attribution License version 3.0 (CC-BY-3.0); mambo mapya yasiyo msimbo imetolewa kupitia CC-BY toleo 3.0 au ya baadaye (CC-BY-3.0+). Kama inarejelea kwa pamoja au imedokezwa vinginevyo, tafadhali tambua wachangiaji wa nishani ya Mazoea Bora ya OpenSSF.

Tafadhali shiriki hii: